MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA WAHITIMU WA CHUO CHA ULINZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, July 21, 2026

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA WAHITIMU WA CHUO CHA ULINZI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Prof. Palamagamba Kabudi ameshiriki na kutoa wasilisho katika Mkutano wa Pili wa Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (National Defence College Tanzania)

Mkutano huo umefanyika Jijini Dar es Salam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNICC) na kuongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa mzungumzaji Mkuu.

No comments:

Post a Comment