RAIS SAMIA AELEKEA DODOMA KWA TRENI YA SGR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, May 17, 2025

RAIS SAMIA AELEKEA DODOMA KWA TRENI YA SGR

KUSHIRIKI ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.


No comments:

Post a Comment