
Wabunge wakiendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Hotuba hiyo ilisomwa na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega jana tarehe 5 Mei, 2025 ambapo Waziri huyo ameomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 2.280 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na shughuli za uendeshaji wa Wizara hiyo kwa mwaka ujao wa fedha.





No comments:
Post a Comment