
Leo Mei 4, 2025, Zitto Kabwe, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Kigoma Mjini. Fomu hiyo alikabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kigoma Mjini, Idd Adam.



Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (kulia) akikagua mwenenedo wa uboreshaji Daftari katika ...
No comments:
Post a Comment