Sikuwahi kufikiria kwamba siku yangu ya harusi ingeishia kwa aibu, vilio na mshituko. Nilijipanga kwa miezi saba, nikahakikisha kila kitu kiko sawa nguo, mapambo, orodha ya wageni, kadi, hata nyimbo za harusi nilizichagua mwenyewe. Musa, mchumba wangu, alikuwa mpole, mwenye maono, na mkarimu. Niliamini alikuwa ndiye mwanaume wa ndoto zangu.
Siku ya harusi ilipofika, kila mtu alikuja mapema kanisani. Nilivaa gauni langu jeupe lenye upindo wa dhahabu na nikasindikizwa na baba yangu huku kamera zikichukua kila hatua. Muziki wa taratibu ulipigwa. Kanisa lilifurika. Nilijisikia kama malkia.
Lakini pale nilipofika madhabahuni na kusimama karibu na mchumba wangu, moyo wangu ulianza kupiga kwa nguvu. Nilipomtazama mtu aliyesimama nyuma yake kama Best Man, miguu ilianza kunitetemeka. Sikuwa nimekosea alikuwa ni Frank, ex wangu wa zamani, aliyenivunja moyo miaka miwili iliyopita kwa kunisaliti na rafiki yangu wa karibu.
Frank hakunitazama moja kwa moja. Alikuwa akitabasamu kwa upole, kana kwamba kila kitu kiko sawa. Musa hakuwa na habari kuwa tulishawahi kuwa na uhusiano wa karibu kiasi hicho. Nilihisi kichwa kizito, midomo ikaanza kukauka. Kila nilipotaka kusema “Ndiyo,” sauti haikutoka. Badala yake, machozi yalianza kunitoka bila kujizuia.
Ndipo kilichotisha kilitokea. Nilianza kutetemeka kwa nguvu, nikaanza kulia kwa sauti ya juu kana kwamba kuna kitu kinaniuma ndani. Nilipiga kelele: “Kwa nini uko hapa?! Kwa nini umekuja kuniharibia?!”
Mchungaji alijaribu kuniweka sawa, lakini kabla hajamaliza kunishika mkono, alizimia na kuanguka miguuni mwangu. Harusi ikavunjika papo hapo. Watu walipigwa na butwaa, mama yangu alilia kwa uchungu, na Musa alishindwa hata kunitamkia neno. Nilitolewa nje ya kanisa nikiwa nimepoteza fahamu kabisa.
Nilipokuja kuzinduka baadaye siku hiyo, nilikuwa nyumbani kwa rafiki yangu. Sikuwa na nguvu ya kusema chochote. Harusi yangu ilikuwa imesambaratika mbele ya mamia ya watu. Nilijawa na aibu, uchungu, na maswali. Kwa nini Frank? Kwa nini leo?
Siku mbili baadaye, rafiki yangu alikuja kuniambia kwamba kulikuwa na uwezekano wa laana au kifungo cha kiroho kati yangu na Frank ambacho hakikukatwa ipasavyo. Aliniambia pia kuwa Kiwanga Doctors waliwahi kumsaidia binamu yake ambaye alishindwa kuolewa kila mara harusi ikikaribia.
Nikiwa sina cha kupoteza tena, niliwasiliana nao kwa namba yao +255 763 926 750. Walinipokea kwa heshima na kuniambia wazi kuwa Frank alikuwa ameniwekea mkataba wa kiroho ili nisiolewe na mtu mwingine yeyote.
Kiwanga Doctors walifanya tambiko la kuvunja kifungo hicho na kunipa dawa ya kuoga kwa siku saba, pamoja na dawa ya kupulizia picha ya harusi iliyovunjika ili kufuta nguvu hasi.
Wiki moja baadaye, Musa alinitafuta mwenyewe. Alikuwa tayari kusikia maelezo. Nilimweleza kila kitu kwa uwazi. Alilia mbele yangu, akanikumbatia na kusema:
No comments:
Post a Comment