Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Salvator Chuwa,akizungumza wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Mkoa wa Dodoma Bw.Gilbert Chuwa,akizungumza wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yaliyoandaliwa na Tume ya ushindani kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia iliyoandaliwa na Tume ya ushindani kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Afisa ufuatiliaji Bidhaa Bandia kutoka Tume ya ushindani Frank Chondo,akiwasilisha mada wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Katibu Mtendaji Jumuiya ya wafanyabiashara Bw.Alexander Mallya,akizungumza wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia iliyoandaliwa na Tume ya ushindani kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Wafanyabiashara mbalimbali Mkoa wa Dodoma wakichangia mada wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia iliyoandaliwa na Tume ya ushindani kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Meneja wa Utekelezaji wa Sheria Kurugenzi ya Kudhibiti Bidhaa Bandia kutoka FCC, Hildagalda Kataraiya,akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wafanyabiashara wakati wa semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

Na Alex Sonna,Dodoma
TUME ya Ushindani (FCC) imeendesha semina maalum kwa wafanyabiashara mkoani Dodoma yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu madhara ya bidhaa bandia na namna ya kuzitambua ili kulinda afya za wananchi na haki za watumiaji.
Akizungumza wakati wa semina hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Salvator Chuwa, amesema kuwa wamefika mkoani hapa kushiriki tukio muhimu la Maadhimisho ya Siku ya Kudhibiti Bidhaa bandia, yakilenga kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu athari za bidhaa hizo kwa uchumi na maisha ya watu.
“Tumeamua kutumia jukwaa hili kuelimisha wafanyabiashara kuhusu wajibu wao katika kutambua na kuepuka bidhaa bandia. Bidhaa hizi sio tu kwamba zinadhoofisha ushindani wa haki bali pia zinahatarisha maisha ya walaji,” amesema Chuwa.
Aidha Chuwa amebainisha kuwa bidhaa bandia zimekuwa changamoto kubwa nchini na zimechangia kuharibu sifa za bidhaa halali zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, jambo linalokatisha tamaa wawekezaji.
Kwa upande wake Meneja wa Utekelezaji wa Sheria Kurugenzi ya Kudhibiti Bidhaa Bandia kutoka FCC, Hildagalda Kataraiya,amesema kuwa moja ya majukumu yao makuu ni kuhakikisha bidhaa zote zinazoingia sokoni zinazingatia viwango na ubora unaotakiwa kisheria.
“Tunaendelea kufanya doria na ukaguzi wa mara kwa mara katika masoko na maduka ili kuhakikisha hakuna bidhaa haramu au bandia zinazosambazwa. Tunawasisitiza wafanyabiashara kuwa sehemu ya suluhisho kwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka,” amesema Kataraiya.
Tume ya Ushindani imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha soko la bidhaa nchini linakuwa na ushindani wa haki, huku akisisitiza ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi na wananchi ili kudhibiti tatizo hilo kwa ufanisi.
Naye Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Mkoa wa Dodoma Bw.Gilbert Chuwa,ameipongeza FCC kwa jitihada hizo na kuomba elimu hiyo iendelee kutolewa kwa maeneo mengine nchini, hasa vijijini ambako watumiaji wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu bidhaa bandia.
Hata hivyo ameongeza kuwa wananchi wanapaswa kutambua kuwa jukumu la kupambana na bidhaa bandia ni la pamoja, na kwamba utoaji taarifa mapema kuhusu bidhaa zenye mashaka unaweza kusaidia kuokoa maisha na mali.

No comments:
Post a Comment