
Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu. Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya kuanza mahusiano. Nilihisi ni bahati mbaya.
Wa pili, mfanyabiashara aliyekuwa na maduka matatu ya vifaa vya umeme, alianza kupata hasara ya kushangaza miezi miwili tu baada ya kuninunulia simu ya bei ghali. Baada ya miezi minne, alifilisika kabisa.
Nilijaribu kuachana nao kwa hofu kuwa labda mimi ndiye chanzo. Lakini mapenzi hayachagui moyo, na kila nilipokutana na mwingine na mambo yakaanza kuwa mazuri, ni kama balaa linaamka.
Kwa zaidi ya miaka mitano, wanaume waliokuwa wakinipenda walikuwa wakipoteza kila kitu kazi, mali, hata afya. Wengine waliumia ghafla au kupata ajali.
Kuna wakati nilijifungia miezi kadhaa nisiwe kwenye uhusiano. Niliamini pengine nitaondoa hiyo mikosi. Lakini hata wale waliokuwa wakinitamani kutoka mbali, walikumbwa na matatizo. Mmoja aliugua kansa ya figo bila historia yoyote ya familia. Nilijua hapa kuna kitu kisicho cha kawaida.
Mwaka mmoja uliopita, nilitembelea kijijini kwa shangazi yangu, na akaniambia kwa utulivu, “Hili ni laana ya familia. Bibi yako aliwahi kurogwa na laana hiyo ikapitishwa kwa wanawake wa kizazi chako.”
Maneno hayo yalinigusa vibaya. Kwa mara ya kwanza nikagundua kuwa pengine hili sio kosa langu, bali ni mzigo wa kifamilia ninaoubeba bila kujua.
Rafiki yangu mmoja ambaye nilimweleza kila kitu akanishauri niwasiliane na Kiwanga Doctors, ambao alidai walimsaidia dada yake aliyekuwa na matatizo ya ndoa kwa miaka mingi.
Sikuwa na imani sana mwanzoni, lakini kwa kuwa nilikuwa nimekata tamaa, niliwapigia simu kupitia +255 763 926 750 na kupanga miadi.
Waliponipokea, hawakusita kuniambia ukweli mchungu. Kwa kutumia macho ya kiroho, walinieleza kwamba laana ya kizazi cha kina mama upande wa mama yangu ilikuwa inajirudia kila baada ya miaka kumi, na mimi ndiye mhanga wa sasa.
Laana hiyo ilikuwa imeunganishwa na uchungu wa ndoa ya bibi yangu ambaye mumewe alimuacha akiwa na watoto watatu, kisha alimtenga kijamii. Kiwanga Doctors walinifanyia tambiko maalum la kuondoa mzigo huo wa laana.
Walinipa mafuta ya kujipaka kabla ya kulala kwa siku saba, dawa ya kuoga kwa majani maalum, na tambiko la kutaja majina ya kizazi changu kwa kusameheana kiroho. Walinisisitiza pia nisamehe wale wote waliowahi kuniumiza ili kufungua mlango wa baraka mpya.
Baada ya wiki mbili, nilihisi uzito wa ajabu umepungua rohoni. Nilikuwa huru, mtulivu, na nilianza kuota ndoto nzuri za ndoa na familia.
Miezi miwili baadaye, nilikutana na mwanaume mmoja ambaye si tu alinipenda, bali maisha yake yalizidi kushamiri tangu tuanze mahusiano. Amefungua tawi jipya la biashara na hivi karibuni tumepanga kufunga ndoa.
Leo hii najua kuwa si kila balaa ni la kawaida. Kuna mizigo ya kizazi inayobebwa kimya kimya bila sisi kujua.
Kama na wewe unajikuta unaathiri watu wanaokupenda au maisha yako yamefungwa kwa njia isiyoeleweka, usikae kimya. Wasiliana na Kiwanga Doctors kupitia nambari hii: +255 763 926 750. Mimi ni ushuhuda wa uponyaji wa kweli wa kiroho.
No comments:
Post a Comment