Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 28,2025 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kut...
No comments:
Post a Comment