
Waziri wa Michezo wa Tanzania Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi ametangaza neema kwa kikosi cha Taifa Stars kitakachoshiriki michuano ya CHAN Akitangaza ahadi ambazo Mheshimiwa Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan, Waziri Kabudi ametanabaisha zawadi kama ifuatavyo 1.
Goli la mama (hatua ya awali) - Milioni 10 2. Goli la mama (Nusu Fainali ) - Milioni 20 3. Zawadi Stars wakifika nusu fainali - milioni 200 4. Zawadi Stars wakifika Fainali - Milioni 500 5. Zawadi Stars wakichukua ubingwa - Bilioni 1
No comments:
Post a Comment