
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea Ubunge katika Jimbo la Kwela lililopo Mkoani Rukwa.
Mhe.Sangu amechukua fomu hiyo leo kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sumbawanga Vijijini, Ndg.Clemence Mponzi

No comments:
Post a Comment