DKT.SERERA ATEMBELEA BANDA LA WHI KATIKA MAONESHO YA NANENANE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, August 6, 2025

DKT.SERERA ATEMBELEA BANDA LA WHI KATIKA MAONESHO YA NANENANE

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera atembelea banda la WHI katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma katika viwanja Nanenane Nzuguni. Tembelea banda letu lililopo katiba banda kubwa la taasisi za serikali namba 4 upate elimu ya uwekezaji na nyumba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Abdul Athumani Mombokaleo atembelea banda la WHI katika maonesho ya Nanenane jijini Dodoma na kupata maelezo ya miradi inayotekelezwa pamoja na uwekezaji katika Faida Fund. Bw. Mombokaleo amewapongeza WHI kwa ubunifu wa e-Wekeza ambao umerahisishwa makato ya moja kwa moja kutoka kwenye mshahara na kuwekeza katika faida fund ambayo sasa itasaidia watumishi kujiongezea vipato kupitia uwekezaji

No comments:

Post a Comment