
I Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi ilani za Uchaguzi wagombea Ubunge wa Chama hicho kwa majimbo ya Mkoa wa Singida leo Jumanne Septemba 09, 2025 mara baada ya Mkutano wake wa Kampeni kwenye viwanja vya Bombadia Mjini Singida. Ilani hizo zimegawanyika mara mbili, kukiwa na Ilani ya Kitaifa na ilani mahususi kwa Mkoa wa Singida, ikiainisha vipaumbele vya utekelezaji ikiwa Chama hicho kitachaguliwa katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025





No comments:
Post a Comment