
Shamrashamra za wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Kaliua Mkoani Tabora leo Alhamisi Septemba 11, 2025 wakati wa Mkutano wa mwisho wa Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tabora.
Dkt. Samia amekuwa Mkoani humo tangu Jumatano Septemba 10, 2025, akieleza mafanikio yaliyopatikana kwenye serikali yake ya awamu ya sita pamoja na vipaumbele na Ahadi zake kwa wananchi ikiwa watamchagua kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.




No comments:
Post a Comment