UMATI WA WANANCHI IRAMBA WAMPOKEA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 10, 2025

UMATI WA WANANCHI IRAMBA WAMPOKEA DKT. SAMIA


Umati wa Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Iramba, mkoani Singida Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano tarehe 10 Septemba, 2025. 

No comments:

Post a Comment