New
TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha,Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi,Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Pemba and Unguja kwa sikunya tarehe 28/12/2025
Wakazi wa maeneo husika mnapaswa kuchukua hatua stahiki.


No comments:
Post a Comment