BALOZI DKT. NCHIMBI AWASILI ETHIOPIA KWA ZIARA YA KIKAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, January 31, 2025

BALOZI DKT. NCHIMBI AWASILI ETHIOPIA KWA ZIARA YA KIKAZI


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokelewa na Mhe. Dkt. Girma Amente, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Prosperity Party (PP), chama tawala cha Ethiopia na pia Waziri wa Kilimo wa Serikali ya nchi hiyo, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole. Balozi Nchimbi amewasili nchini Ethiopia kwa ajili ya ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa PP.




No comments:

Post a Comment