ULEGA NA MALIMA WATUMIA HELIKOPTA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA IFAKARA - MALINYI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, April 24, 2025

ULEGA NA MALIMA WATUMIA HELIKOPTA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA IFAKARA - MALINYI



Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima wakikagua athari za mvua katika miundombinu ya barabara ya Ifakara - Malinyi yaliyosababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara hiyo Mkoani Morogoro.

Katika Ukaguzi huo, Waziri Ulega ameambatana na timu ya Watalaam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara (TANROADS).

No comments:

Post a Comment