PROF MKENDA ATINGA BUNGENI, LEO NI BAJETI YA HISTORIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 12, 2025

PROF MKENDA ATINGA BUNGENI, LEO NI BAJETI YA HISTORIA



Waziri wa Elimu Mhe Prof Adolf Mkenda akiwasili bungeni leo tarehe 12 Mei 2025 kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

No comments:

Post a Comment