

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso akiwasilisha leo Mei 8,2025 bungeni jijini Dodoma makadirio ya Mapato ya Wizara hiyo kwa mwaka 2025-2026 .
SERIKALI ina azma ya kuhakikisha mtaalam mshauri kwa ajili ya mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria kunakuwa na Gridi ya Taifa ya Maji (National Water Grid) wa miji ya Kahama, Shinyanga, Tinde, Nzega, Tabora, Igunga mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria kwenda Dodoma unaendelea.
Hayo yameelezwa leo Mei 8,2025 na Waziri wa Maji Jumaa,Aweso wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026.
Amesema mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria ambao unanufaisha wakazi maji na kuiunganisha kwenye gridi.
Vilevile, Wizara inaendelea na taratibu za kuajiri inayotumia vyanzo vikubwa vya maji ikiwemo maziwa, mito
mikubwa na mabwawa.
Aidha, upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa
umeanza ikiwemo mradi wa kutoa maji bwawa la Nyumba ya Mungu kwenda Wilaya za Same, Mwanga na Korogwe ambapo Serikali itaendelea kufanya usanifu wa miradi mikubwa ya Tanganyika kwenda mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma.
No comments:
Post a Comment