WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI YA VIONGOZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, May 9, 2025

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA MAZISHI YA VIONGOZI



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 09, 2025 ameongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Hayati Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam.






No comments:

Post a Comment