
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.
Mheshimiwa Majaliwa amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny Jijini Abidjan na Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugre Mambe.




No comments:
Post a Comment