![]() |
Baadhi wa Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025 wakifuatilia mkutano huo. |
![]() |
Naibu Mwakilishi Mkazi wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa na Masuala mengine ya Uendeshaji Geneva Balozi Julien Thoni akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU) |
No comments:
Post a Comment