Visa vya wizi wa magari vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya, kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye chombo cha habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa uziri kwani nilidhani ni uongo tu.
Ni hivi majuzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja baada ya gari laungu aina ya Harrier kuibwa katikati mwa jiji la Nairobi.
Vingi vya visa hivi huripotiwa kwenye vituo mbalimbali vya Polisi bila kuzaa matunda kwani Polisi hutoa ahadi yakwamba wangewanasa wezi wa magari hayo lakini kufikia sasa hakuna mtu yeyote ashawahi naswa na kushtakiwa.
Ni majuzi tu moja wa rafiki yangu aliweza kupokonya gari lake na majambazi waliokua wamejihami kwa bunduki, katika barabara kuu ya Thika, Aliweza kuripoti kisa hicho katika kituo cha Polisi cha Kamukunji na kufikia sasa hakuna yoyote amenaswa wala gari lake kupatikana.
Ameweza kuzunguka kwa vituo vingi vya Polisi bila kuzaa matunda, aliweza kunieleza hayo yote na kunirai niwe mwangalifu ninapolitumia gari langu, ambalo nilikua nafanya biashara ya uchukuzi almaarufu (Taxi).
Kazi ambayo nimeweza kuifanya kwa mwaka moja sasa, imeweza kua kitega uchumi changu pamoja na familia yangu, niko na mtoto ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu, na mke, wote hao tegemezi lao ni mimi.
Kuweza kuilipa karo na kuweza kushughulikia majukumu yote ya kinyumbani ikiwemo ununuzi wa bidhaa, yote hayo nimeweza kutokana na biashara ya Taxi ambayo nimekua nikiifanya.
Kabla kisa cha kuibiwa gari kutokea, niliweza kushuhudia kisa hicho ndotoni, niliota kuwa majambazi wawili waliokua wamejihami kwa bunduki na vifaa vingine butu waliweza kunisimamisha barabarani na kudai kwamba walikuwa maafisa wa trafiki, kumbe yalikua madai ya uongo, waliweza kunifunga kwa pingu, na kunipokonya gari na kutoweka.
Ndoto hiyo iliweza kunipa kiwewe kila wakati nikiwa kwa shughuli zangu za uchukuzi kila wakati, niliweza kutilia maanani sheria za barabarani nisije nikasimamishwa na trafiki ambao nilidhania kuwa ni majambazi kila nyakati nilikumbana nao barabarani
Siku ya Ijumaa ningeweza kuifanya kazi vizuri, na ningependelea kuifanya kufikia nyakati za usiku wa manane, kwani wengi wa wateja wetu wangetaka kusafirishwa kutoka majumbani mwao ama kufikishwa katika maeneo mbalimbali ya burudani kutumia texi kwani zingeweza kuwafikisha maeneo yote waliohitaji.
Siku hii biashara zingenoga sana, na ningeweza kupata kipato cha juu sana cha fedha ikilinganishwa ni siku nyingine za wiki, Ijumaa ya wiki iliyopita niliweza kurauka machweo kuianza kazi yangu ya kila siku ya uchukuzi, ambao niliifanya vyema na kwa ustadi kwa hofu niliokua nayo kutokana na ndoto.
Niliweza kuwasafirisha takriban wateja 12 katika maeneo mengi jijini Nairobi, wengi wao niliweza kuwasafirisha kutoka maeneo ya burudani kuenda majumbani mwao.
Ilipotimia mida ya saa tano usiku, nilipokua nimeegesha gari langu, ghafla bin vuu wanaume wawili walifika nakutaka kusafirishwa maeneo ya Kahawa Magharibi takriban kilomita kumi katika mwa jiji la Nairobi, nilikubali kwani waliweza kukubali kulipa kiwango chochote cha fedha.
Baada ya mwendo wa kilomita tatu hivi, wanaume hao walianza kuzungumza lugha ambayo sikuweza kuielewa, muda baada ya muda wangeweza kupiga simu na kuongea kwa muda mrefu sana, sikuwa na ufahamu wowote wa mambo waliokua wakiongelea, na sikutaka kuwauliza kwani, ni uhuru wao kuzungumza na simu wakati wowote.
Moyoni nilikua na tashwishi nao kwani wengi waliopokonywa magari yao walilalama kuwa, waliowapora walikua na tabia za kuzungumza mara kwa mara kwenye simu.
Tulipofika eneo Ndonyo kilomita chache kufikika mji wa Kahawa, wawili hao walilalama yakwamba walikua wanahitaji kukojoa kando ya barabara, niliwakubali kufanya hivyo kwa kudhani kwamba wangerejea baadaye tuendelee na safari.
Ghafla bin vuu wanaume hao wawili hao walinivamia wakiwa na visu na bastola waliniagiza niondoke kwenye gari nikiwa nimeshikilia funguo za gari hilo mkononi.
Nilifanya hivyo kwa kuhofia maisha yangu, nilimkabidhi mmoja wa wanaume hao funguo hizo mkononi, ila mwingine alinishika mashati na kunipokonya hela, wawili wote waliingia kwenye gari hilo na kutoweka.
Niliripoti kisa hicho kituo cha Polisi cha Kahawa bila mafanikio, siku moja nilipokua kwenye mtandao nilikumbana na wavuti ya Kiwanga Doctors baada ya kupitia nilifahamu kua walikua na uwezo wa kuipata mali iliyopotea, bila kusita niliichukua namba yao na kuwapigia simu.
Nilimweleza Kiwanga Doctors yote yaliotokea kuhusu gari langu na alinipa ahadi kuwa kwa siku mbili hivi wezi hao wangelirejesha gari hilo, baada ya siku mbili afisa wa polisi kutoka Kahawa alinipigia simu na kuniarifu niendee gari hilo kwani majambazi hao walijisalimisha pamoja na gari hilo.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
No comments:
Post a Comment