
Wakati mwingine mapenzi yanaweza kuwa ya kushangaza sana. Nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na suti ya kijivu, tai ya maroon na viatu vya rangi ya kahawia iliyong’aa, nilihisi moyo wangu ukiruka kama vile mtu aliyeguswa na umeme.
Hakuwa staa wa filamu, wala hakuwa tajiri mkubwa lakini alivyojitokeza, alivyonukia, na alivyonena ilitosha kunichanganya. Nilijua huyo ndiye mtu niliyetaka kuwa naye maishani, lakini haikuwa rahisi hata kidogo.
Nilijaribu kila njia kumpata. Nilimfuata Instagram, nikaanza kupenda kila picha yake. Nilijitahidi kuonekana maeneo yale yale aliyokuwa akitembelea.
Nilijifanya kuomba msaada wa kitaalamu kazini kwake ili angalau tupate muda wa maongezi. Lakini bado hakunipa nafasi. Aliweka mipaka wazi, akisema yuko bize, hana muda wa mapenzi, na kwa kweli alikuwa akinikwepa kama ukoma.
Marafiki zangu walinishauri niachane naye, kwamba si kila mwanaume unayempenda atakupenda pia. Wengine walinicheka, wakisema nampotezea muda na kujidhalilisha. Lakini moyo wangu haukukubali. Nilijua kuna kitu kati yetu, lakini ni kama kuna ukuta usioonekana uliokuwa unazuia mapenzi haya kuchanua.
Siku moja, rafiki yangu wa karibu alinionyesha video ya ushuhuda wa msichana mmoja aliyekuwa katika hali sawa na yangu. Alikuwa amepata msaada wa kitaalamu wa mitishamba kutoka kwa Kiwanga Doctors na alifanikiwa kupata mwanaume aliyempenda tangu zamani.
Nilianza kufikiria labda hiki ndicho kilichonihitaji. Nilikuwa nimeomba, nimejituma, nimejibadilisha, lakini bado sikuona matokeo. Nikasema, siwezi poteza kitu kujaribu.
Nilipowasiliana na Kiwanga Doctors, waliniuliza maswali machache kuhusu mimi na yule mwanaume. Wakanishauri kutumia dawa ya mitishamba ya mapenzi inayosaidia kuvunja vizuizi vya kiroho vinavyokwamisha mahusiano, pamoja na pete ya mapenzi ya kuvuta mtu unayemtaka. Nilikuwa na mashaka mwanzoni, lakini nilitii masharti yao bila kukosa hata moja.
Haikupita hata wiki mbili, siku moja nilipokuwa kazini, nilipokea ujumbe kutoka kwake mwanaume ambaye hakuwa akijibu hata salamu zangu. Aliniambia aliniota mara tatu mfululizo usiku huo na hakuweza kupata amani hadi aongee na mimi.
Tulikutana kwa kahawa, tukazungumza kwa masaa. Siku hiyo, alinifungukia mambo mengi, kwamba alikuwa akivutiwa na mimi kwa muda mrefu lakini kulikuwa na kitu ndani yake kinachomzuia kufanya uamuzi. Alisema amejisikia huru ghafla na hajui kwa nini, lakini anaona kama sisi wawili tumeandikiwa kuwa pamoja.
Leo hii, huyo mwanaume ndiye mume wangu. Harusi yetu ilifanyika miezi sita baadaye. Maisha yetu ni ya furaha, ya amani, na kila siku nawaza je, ningekata tamaa kama wengine walivyonishauri, nini kingetokea?
Najua si kila mtu anaweza kuelewa nguvu ya mitishamba ya mapenzi mpaka aitumie. Lakini kwa mtu anayepigania upendo wa kweli bila mafanikio, ningependa awe na nafasi ya pili kama niliyopewa.
Kwa yeyote anayehisi anapenda mtu lakini mapenzi hayarudishwi, au kuna vizuizi visivyoeleweka kati yenu, usisite kuwasiliana na Kiwanga Doctors. Wanapatikana kwa nambari +255 763 926 750
No comments:
Post a Comment