VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UZINDUZI WA KALENDA YA UCHAGUZI INEC - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, July 26, 2025

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UZINDUZI WA KALENDA YA UCHAGUZI INEC


Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inazindua rasmi kalenda ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika makao makuu ya Tume yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma.

Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu.

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vyenye usajili wa kudumu wamewasili katika hafla hiyo katika viunga vya Ofisi ya Tume ni pamoja na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Chama cha Wananchi (CUF), Alliance for African Farmers Party (AAFP), National League for Democracy (NLD) na ACT Wazalendo.





No comments:

Post a Comment