DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE TABORA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 11, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE TABORA



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa wagombea Ubunge wa Chama hicho mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Uyui katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Tabora Septemba, 2025.



No comments:

Post a Comment