
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa wagombea Ubunge wa Chama hicho mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Uyui katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Tabora Septemba, 2025.




No comments:
Post a Comment