
Picha za matukio mbalimbali kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Septemba 11, 2025 Wilayani Urambo Mkoani Tabora. Dkt. Samia anayetetea nafasi yake ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, anatumia mikutano hiyo kueleza mafanikio yaliyopatikana kwenye miaka minne ya Uongozi wake pamoja na yale waliyodhamiria kuyafanya ikiwa atachaguliwa tena kwenye uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025.








No comments:
Post a Comment