WANANCHI WAFURIKA VIWANJA VYA CCM SABASABA KUMLAKI DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 4, 2025

WANANCHI WAFURIKA VIWANJA VYA CCM SABASABA KUMLAKI DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi wa Babati Mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Oktoba 04, 2025 kwenye Viwanja vya CCM Saba saba, kwenye siku ya pili ya Kampeni za Dkt. Samia Mkoani humo akitokea Mkoani Arusha.

No comments:

Post a Comment