

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Mara, Simiyu, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Lindi na Mtwara kwa tarehe 29.12.2025.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI
KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
ZINGATIA NA JIANDAE.

No comments:
Post a Comment