WAZIRI DKT. KIJAJI UWANDANI KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO HIFADHI YA SERENGETI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, March 8, 2026

WAZIRI DKT. KIJAJI UWANDANI KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO HIFADHI YA SERENGETI



Na Sixmund Begashe, Serengeti


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewasili katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, kukagua na kujionie athari na uharibifu wa miundombinu zilizosababshwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchin ili kuzipata ufumbuzi wa kudumu.

Dkt. Kijaji ameambatana na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo, wataalam na Maafisa mbalimbali.




No comments:

Post a Comment