TCDC SPORTS CLUB YASHIRIKI MASHINDANO YA POOLTABLE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, April 25, 2026

TCDC SPORTS CLUB YASHIRIKI MASHINDANO YA POOLTABLE

Katika kuelekea Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani ( Meimosi) ambayo kitaifa inafanyika mkoani Njombe, Timu ya Pooltable ya TCDC Sports Club imeshiriki mashindando ya mchezo huo Aprili 23, 2026 ndani ya African Club mjini humo.

Mchezaji Mbasso John ameiwakilisha TCDC Sports Club katika mchezo huo huku akishinda mechi ya kwanza kati ya TCDC na Ulinzi na ,mechi ya pili akicheza na Arusha DC na kutoka moja moja na kupoteza mchezo wa mwisho baada ya kufungwa na timu ya Mahakama.

Kwa hatua hiyo TCDC Sports Club haijafanikiwa kuingia nusu fainali katika mchezo wa Pooltable katika Mashindando ya Michezo ya Meimosi.

No comments:

Post a Comment