Rose asema amefurahi sana kucheza na Naymar. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 15, 2017

Rose asema amefurahi sana kucheza na Naymar.




Beki wa kimataifa wa England na klabu ya Totenham hotspurs Danny Rose amesema kwamba amefurahishwa sana kucheza na mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na mchezaji ghali Duniani Naymar Dos Santos.

Katika mchezo ambao umezikutanisha England na Brazil Naymar alishindwa kuamua matokeo baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare tasa.

Kwa upande wa Rose yeye anaamini kwamba star huyo wa PSG mwenye umri wa miaka 25 ni moja kati ya mchezaji bora kwa sasa Dunia.

Rose amesema kwamba amejifunza  ni kwanini Naymar huwa anafunga magoli mengi tangu akiwa Barcelona ,PSG na Brazili kuwa ni mchezaji mwenye maamuzi ya haraka na mwepesi katika kuchukua hatua.

Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Wembley Brazil walijaribu sana kutaka kupenya ukuta wa England lakini ulikuwa haupenyeki huku ukiongozwa na Joe Gomez ambaye ameibuka mchezaji bora wa mchezo huo, John Stones, Harry Maguire na  Kyle Walker.
Ikumbukwe tu kwamba timu ya Brazil na England wameshafuzu tayari kwenda Urusi mwakani kushiriki kombe la dunia.
MICHEZO MINGINE YA KIRAFIKI.

14 NOVEMBER 2017


Africa - WC Qualification Africa

FT
FT

Europe - WC Qualification Europe

FT

World - Friendlies - Friendlies 1



FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT

World - Friendlies - Friendlies 2

FT
FT

World - Friendlies - Friendlies 3

FT

No comments:

Post a Comment