LOWASSA AJIBU MAPIGO CHADEMA...AMCHANA MBOWE,ATAKA TUKOSOE PIA TUPONGEZE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, January 11, 2018

LOWASSA AJIBU MAPIGO CHADEMA...AMCHANA MBOWE,ATAKA TUKOSOE PIA TUPONGEZE



Naheshimu Msimamo wa Mwenyekiti wangu baada ya mimi kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli. Yote aliyoyasema ni malalamiko yetu siku zote lakini mabaya hayawezi kuwa ukuta wa kuzuia mazuri yanayofanywa na serikali hiyo hiyo yasionekane. Tukosoe lakini pia tupongeze

No comments:

Post a Comment