KATA KIU YAKO NA OG_ FOOD _PRODUCTS,,,TUNASEMA KIU SASA BAAASI TENA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, November 6, 2021

KATA KIU YAKO NA OG_ FOOD _PRODUCTS,,,TUNASEMA KIU SASA BAAASI TENA

Karibu OG_FOOD _PRODUCTS kwa huduma Bora kabisa na ukate kiu yako kwa Karanga mbichi za mayai ,Juice zenye ladha tofauti kabisa ,kachori na bites za tofauti mnoo.

Kwa wakazi wa Dar es Salaam huduma hii inakufikia popote ulipo kikubwa ni kuingia kwenye ukurasa wetu wa Instagram unaokwenda kwa jina la OG_FOOD _PRODUCTS au Whatsapp Business yetu ya nambari +255687495659

Bila kusahau huduma inakufikia mpaka mlangoni kwako kikubwa wasiliana nasi na uchague unataka huduma gani kazi iliyobaki tuachie sisi kumbuka tu Juice ni kwanzaia nusu Lita mpaka Lita kumu unaweza kupata na mengineyo mengi kabisa ndio maana tunasema KATA KIU YAKO NA OG_FOOD_PRODUCTS.


OG_FOOD_PRODUCTS

"First wealth is health"

Afya yako ndo utajiri wako🥰

Kwann ule vyakula visivyo na ubora? Kwa nini unywe vinywaji vyenye sumu?

Suluhisho la kiu yako limepatikana, kunywa juice zenye ladha tamu na viwango vya hali ya juu kutoka og_food_products, joto na jua halitukwamishi tena kuendelea na mapambano ya kila siku, huku glass ya juice, pale packet ya karanga, unaburudika na kupata vibe kama loteeeee😁


Bites kama hizi zote zinapatikana oG_FOOD PRODUCTS
Karanga mbichi za kukaanga za Mayai nazo pia zipo
Juice ya Karoti sasa utajilamba kweli kweli
Kachori pia
Maandazi lainiiii unaweza kuhifadhi zaida ya mwezi mzima na zikawa katika ubora uleule
Juice Mix(Parachichi,Embe,Passion ,Fenesi na Nanasi) vyoti ni OG_Food Products
Chai ya viungo
Maandazi ya Maziwa utajing'ata kwa kweli

2 comments: