BEI MPYA ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROL, DIZELI NA MAFUTA YA TAA NI PASUA KICHWA ,,SABABU ZA KUPANDA ZAWEKWA WAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, April 5, 2022

BEI MPYA ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROL, DIZELI NA MAFUTA YA TAA NI PASUA KICHWA ,,SABABU ZA KUPANDA ZAWEKWA WAZI


Mkurugenzi wa Petroli wa EWURA Bw. Gerald Maganga Akiongea na waandishi wa habari kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia jumatano, tarehe 6 Aprili 2022


Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia jumatano, tarehe 6 Aprili 2022
Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia jumatano, tarehe 6 Aprili 2022



Na Okuly Julius Dodoma
Matukio katika picha wakati Mkurugenzi wa Petroli wa EWURA Bw. Gerald Maganga Akiongea na waandishi wa habari kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia jumatano, tarehe 6 Aprili 2022

No comments:

Post a Comment