Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amemkabidhi cheti cha Udhamini Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw.Gabriel Girangay kwa kutambua mchango wa taasisi hiyo katika kufanikisha Mkutano wa Wakandarasi unaofanyika tarehe 12-13 Mei, 2022 kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Umuhimu na mchango wa Wakandarasi katika Uchumi wa Tanzania".
No comments:
Post a Comment