NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA KUSHIRIKI MKUTANO WA UWEKEZAJI RASILIMALI ZA MADINI, NISHATI NIGERIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 30, 2022

NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA KUSHIRIKI MKUTANO WA UWEKEZAJI RASILIMALI ZA MADINI, NISHATI NIGERIA



Na Mwandishi wetu 

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa na Watalaam kutoka Wizarani wanatarajia kushiriki Mkutano wa Uwekezaji katika Rasilimali za Madini na Nishati utakaofanyika kuanzia tarehe 31 Mei hadi 3 Juni, 2022 nchini Nigeria.

Leo Mei 30, Naibu Waziri Dkt.Kiruswa amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Benson Bana ambaye amemweleza kuhusu nia ya Mfanyabiashara mkubwa wa nchini humo Aliko Dangote kuwekeza katika kiwanda kikubwa cha mbolea nchini.

No comments:

Post a Comment