BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, June 14, 2022

BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64



WENYEJI, Wales wamefanikiwa kufuzu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ukraine Jumapili Uwanja wa Cardiff City Jijini Cardiff.

Bao pekee la Wales alijifunga beki Andriy Yarmolenko akijaribu kuzuia mpira wa adhabu wa Gareth Bale dakika ya 34 na kikosi cha Rob Page kinafuzu Kombe la Dunia baada ya miaka 64.

No comments:

Post a Comment