| Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa VETA, Sitta Peter kuhusu bidhaa zinazotokana na mafunzo ya ubunifu wa mavazi yanayotolewa katika Chuo cha VETA Arusha. Kushoto ni Mwalimu wa Chuo cha VETA Arusha, Elizabeth Luwongo, katika Maonesho ya Elimu ya Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET) yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment