MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA WAKATI MHE.RAIS SAMIA AKIWA ZIARANI MKOANI GEITA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 15, 2022

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA WAKATI MHE.RAIS SAMIA AKIWA ZIARANI MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsalimiana na Wananchi wa Geita baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita tarehe 15 Oktoba 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita tarehe 15 Oktoba 2022

No comments:

Post a Comment