TAGCO YAFANYA ZIARA HALMASHAURI ZA WILAYA YA MPWAPWA NA KONGWA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 27, 2022

TAGCO YAFANYA ZIARA HALMASHAURI ZA WILAYA YA MPWAPWA NA KONGWA


Na Mwandishi wetu 

Chama cha Maafisa Habari na Uhusiano nchini (TAGCO) kimefanya ziara ya kuwatembelea Maafisa Habari wa Halmashauri za Wilaya ya Mpwapwa na Kongwa kwa ajili ya kuangalia utendaji kazi wao, ufanyaji kazi wa vitengo vipya vya mawasiliano kwenye halmashauri hizo na changamoto wanazokutana nazo katika kuhabarisha na kuelimisha Umma.

Aidha, pamoja na kuzungumza na Maafisa Habari hao Viongozi hao walipata fursa ya kuzungumza na Wakurugenzi wa Halmashauri hizo na kuwasisitiza kuwatumia Maafisa Habari ili kuwafahamisha na kuwaelimisha wananchi juhudi za Serikali zinazofanywa katika maeneo yao kupitia vitengo vya mawasiliano Serikalini.

No comments:

Post a Comment