"Ndugu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT Taifa,kwa heshima kubwa ninaomba kibali Cha kuwatumikia katika nafasi ya MJUMBE wa Baraza Kuu la UWT Taifa,
Ninawaahidi kufanya kazi kwa kujituma,uadilifu na Kwa mapenzi makubwaaaa ili kuhakikisha kazi nzuri iliyoanzishwa na watangulizi wetu inasonga mbele...Kazi iendelee"Dr.Linda Selekwa |
No comments:
Post a Comment