Na Mwandishi wetu Dar-es-salaam
Kikao cha 9 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa ajili ya kupitia baadhi ya ripoti za matokeo ya Sensa zilizo kamilika kabda ya kuzinduliwa. Kikao hiki kilipitia na kujadili machapisho ya Sensa na kuwasilisha kwenye Kamati Kuu ya Sensa.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam tarehe 29 Januari, 2023.
No comments:
Post a Comment