DKT.YONAZI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI CHA MAKATIBU WAKUU KUHUSU URATIBU WA MAAFA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, April 18, 2023

DKT.YONAZI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI CHA MAKATIBU WAKUU KUHUSU URATIBU WA MAAFA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza wakati wa kikao cha Kamati cha Makatibu Wakuu Kuhusu Uratibu wa Maafa.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Kaspar Mmuya akichangia wakati wa kikao hicho.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar akichangia hoja wakati kikao cha Kamati cha Makatibu Wakuu Kuhusu Uratibu wa Maafa.
Baadhi ya wajumbe wakisikiliza wakati wa kikao hicho.



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati cha Makatibu Wakuu Kuhusu Uratibu wa Maafa kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo 17 Aprili 2023 Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment