KATAMBI ajitosa kuokoa Maisha ya Msanii wa Shinyanga Fadhiri a.k.a CHAPCHAP - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, May 18, 2023

KATAMBI ajitosa kuokoa Maisha ya Msanii wa Shinyanga Fadhiri a.k.a CHAPCHAP


1. Alifanya Vikao na Waziri wa Afya Mhe
Ummy Mwalim na Naibu wake Dr. Mollel na Mkurugenzi Mkuu Prof. Janabi na Wote kwa pamoja wakashirikiana kupata Msaada wa Mhe. Rais Dr. Samia S Hassan kipenzi cha Watanzania.

2. Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia Mfuko wake wa huruma na pole aridhia kutoa Matibabu kwa msanii huyo.
3. Katambi atinga Muhimbili na Mgonjwa wake kwajiri ya Upasuaji.

4. Alindoka kwa dharura Dodoma kwenda kupambana Dar/ Mhimbili.


"Katambi atoa ya moyoni" Niseme nini zaidi ya kuwaambia Ndugu zangu Namshukuru sanaaa Mhe. Rais Dr. Samia S Hassan kwa mahaba na wema huu wa ajabu kwa Watu wake wenye shida na wanyonge, nitaenda kumshukuru kwani nakosa kauli ya kusema ajue alivyookoa pakubwa maisha ya


Ndugu yetu, pia Mhe. Waziri wa Afya Ummy alivyolishikia bango na N. Waziri wake Dr. Mollel alivyopambana na Prof. Janabi kuhakikisha tunapata Mkono wa pole na Msamaha wa Mhe. Rais daaah Mungu awalipe mema na neema kwa utu na upendo huu wa ajabu.


Kwa sasa mniache nimalizie taratibu za kitabibu, tutaongea badae.


Atukuzwe Mungu wetu na asanteni wote WanaShinyanga na Watanzania wote mlioguswa kumpigania Mungu atawalipa kadri ya wema wenu.
Wabillah tofiq."🙏🏻

No comments:

Post a Comment