VIONGOZI NA WATENDAJI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAWASILISHA MADA NA KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA YA KIUTUMISHI KWENYE MKUTANO WA KUMI WA KITAALUMA WA TAPSEA ULIOANZA JANA MKOA WA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, May 25, 2023

VIONGOZI NA WATENDAJI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAWASILISHA MADA NA KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA YA KIUTUMISHI KWENYE MKUTANO WA KUMI WA KITAALUMA WA TAPSEA ULIOANZA JANA MKOA WA KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati akitoa salamu za Ofisi yake katika mkutano huo unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akifuatilia Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifuatilia Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mishahara, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Gubas Vyagusa akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya kiutumishi kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ACP. Ibrahim Mahumi akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya kiutumishi kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Felista Shuli akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya kiutumishi kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Leila Mavika akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya maadili kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment