HABARI PICHA:WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA ENEO LA UWANJA WA MASHUJAA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, June 14, 2023

HABARI PICHA:WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA ENEO LA UWANJA WA MASHUJAA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akikagua eneo la Uwanja wa Mashujaa lililopo katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bwn. Paul Sangawe wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa uwanja wa Mashujaa unaoendelea katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa wataalamu baaada ya ziara ya ukaguzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Mashujaa katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment