PICHA- WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. HAMZA HASSAN JUMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, July 4, 2023

PICHA- WAZIRI JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. HAMZA HASSAN JUMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma (kulia) akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili Ofisini kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe, Dkt. Selemani Jafo (kushoto). Mazungumzo baina ya viongozi hao yalifanyika leo Jumanne Julai 4, 2023 katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Kamishna wa Ardhi, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Nathael Mathew (kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hamza Hassan Juma. Kikao hicho kilifanyika leo Jumanne (Julai 4, 2023) katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hamza Hassan Juma akizungumza katika kikao baina yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo (kulia). Kikao hicho kilifanyika leo Jumanne (Julai 4, 2023) katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Lucy Kabyemela wakifuatilia kwa makini kikao baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma. Kikao hicho
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika kikao baina yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma (kulia). Kikao hicho kilifanyika leo Jumanne (Julai 4, 2023) katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimkakaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma (kulia) Ofisini kwake katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo baina yao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Jumanne Julai 4, 2023.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo ak akizungumza jambo wakati wa kikao baina yake na na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hamza Hassan Juma. Kikao hicho kilifanyika leo Jumanne (Julai 4, 2023) katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Hanifa Selengu akizungumza jambo wakati wa kikao baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hamza Hassan Juma. Kushoto ni Kamishna wa Ardhi, Bw. Nathael Mathew. Kikao hicho kilifanyika leo Jumanne (Julai 4, 2023) katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)


No comments:

Post a Comment