PROF.MKENDA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, August 16, 2023

PROF.MKENDA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF


Na Mwandishi wetu -Dodoma

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Agosti 16, 2023 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakalishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Elke Wisch


Wisch akiambatana na ujumbe wake amefika ofisi za Wizara kwa lengo la kujitambulisha.


Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo ambapo wamekubaliana kuendeleza ushirikiano katika kuimarisha sekta ya elimu

No comments:

Post a Comment